Live abetter life wengi wetu tumekuwa watu wa kulalamika maisha magumu,
hakuna kazi na muda mwingine tunatupa lawama kwa Mungu kwanini amekuumba
masikini.
Lakini bila kufikilia kwanini uzaliwe masikini na ukubali kufa masikini?
ajira ziko nyingi sana lakini sababu ni ipi wewe ukose? elimu? rushwa?
juhudi? au kukata tamaa? Je tangu umeamka leo umfanya kitu gani cha
maana cha kukuingizia pesa?
Iam sure kama upo Kijiweni, Kitandani au umejiachia sehemu ya starehe
unapiga picha then unalalamika maisha magumu amka jitume pesa unayo
tumia kuweka bando na kusoma umbea.
Uliwahi piga mahesabu kwa week unatumia shilingi ngapi kuweka vocha
katika simu yako? na hiyo pesa ukiijumlisha kwa mwezi ni shilingi ngapi?
Iam sure ni pesa ambayo inaweza kuwa mtaji wa biashara au mwanzo wa
kulipia ada ukasome kozi furani ili uongeze juudi.
Hao matajiri wanaotutengenezea simu na vocha wote walianza na 0 now wako
nusu number usilalamike maisha magumu wakati huna juudi yoyote uliyo
fanya live a better life tumia vocha yako vizuri je ungependa kuwa kana
Wema Sepetu.
Basi jifunze kujaribu kwani hta yeye alijaribu kuwa Miss na hakuwa na
mategemeo ya kushinda but leo hii amekuwa tamanio la wengi, always try
and never give up hata mimi sikutegemea kama leo hii ningekuwa kipenzi
cha wengi but nilijaribu na nikafika.
Usiogope always try # Live abetter life# Be Wema fanya Wema
0 Response to "WEMA SEPETU AANIKA SIRI YA UTAJIRI WAKE"
Post a Comment