Wanawake walioenda shule wakapata kazi ni shida utasikia "leo nimechoka
kazi zilikuwa nyingi, niache nilale kidogo" imetoka hiyo, tena utasikia
"niache nilale kesho nina presentation" ishatoka hapo kama ndo hamu
ilikuzidi, utakoma.
Usiombe ukawa na hamu, yani utatamani uchepuke, kutana na asiye na kazi
sasa, kila mda kakutegeshea, unatupia mawe utakavyo, labda zile siku za
utaalamu wao.
Jamani wanawake wasomi badilikeni
0 Response to "Attention: Ukioa Mke Msomi Mwenye Kazi Nzuri, Jua Sio Kila Mara Utapewa Mapenzi"
Post a Comment