Aliyekuwa mchumba wa Sugu, Faiza ashtakiwa na ndugu yake kwa kutishia kuua

KUANGALIA PICHA HIZI HAKIKISHA UNAMIAKA 18+, BONYEZA HAPO CHINI
Aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameshtakiwa na binamu yake baada ya kudaiwa kumtishia kumuua.
faiza_ally666
Faiza ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na Sugu ameandika kwenye Instagram:Nimefunguliwa kesi na ndugu yangu ..RAHMA MOHAMED kwa kesi ya kutishia kuua – dah kweli mtu akikusudia mabaya hashindwi – Mungu wangu nisimamie Ameen Niko oyster-bay police.”

ANGALIA PICA ZA WASICHA WENYE MAKALIO MAKUBWA ZAIDI DUNIA, BONYEZA HAPO CHINI

0 Response to "Aliyekuwa mchumba wa Sugu, Faiza ashtakiwa na ndugu yake kwa kutishia kuua"

Post a Comment