Hivi sasa wawili hao wanaonekana sehemu mablimbali wakiwa wapo close na kutupia mapicha mtandaoni kitu kinachompa presha mwadada Siwema ambae hivi majuzi alinyang’anywa mototo na Nay Wa Mitego na hiyo kuamua kurusha madogo mtandaoni.
Japo kuwa Nay wa Mitego yupo mstari wa mbele kuwapondea wadada wa Bongo Movies kwenye nyimbo zake, lakini kwenye maisha halisi anaonekana kuwzimia sana kwani alishakuwa na mahusia yo kimapenzi na wadadawa bongo movies kadhaa kabla ya Shamsa wakiwemo Nisha na Bozi.
Hapo juu ni picha ya Nay na Shamsa Wakilana Denda kwa Raha zao......
0 Response to "Ushahidi wa Laivu Kuwa na Nay wa Mitego na Shamsa Ford Wanapika na Kupakua Huu Hapa"
Post a Comment