Baada ya Kutemana na aliyekuwa Mpenzi wake wa muda Mrefu Gadner G Habash Sasa Lady Jay Dee Kuolewa na Mwanaume Tajiri.
Hayo
yalisemwa na Mtabiri wake wa Nyota ambae alimkaribisha kwenye kipindi
chake cha Diary ya lady Jaydee ambapo huweka wazi mambo kuhusu Maisha
yake .
Mbali
ya kuolewa Mtabiri huyu ametabiri Lady Jay Dee Mwaka Huu Utakuwa wa
mafanikio kwake Kipesa kupitia Muziki wake lakini kiafya atakuwa na homa
za mara kwa mara na kuwa dhoofu kiafya kitu ambacho kitamfanya
kufikiria kifo ...
~Gazeti la Kiu
0 Response to "UTABIRI: Lady Jay Dee Kuolewa na Mwanaume Tajiri..Lakini Afya yake Itadhoofu"
Post a Comment